26
May
2014

Sherehe za Balozi za Kiafrika Lusaka Zambia, zikiadhimisha miaka 50 ya OAU/AU

Sherehe za siku ya Afrika ambazo huadhimishwa tarehe 25 Mei 2014 ya kila mwaka nchini Zambia. Kwa upande wa Balozi za Afrika zilizopo Zambia sherehe hizi zimefanyika tarehe 27 Mei 2014 nyumbani kwa Balozi wa Nigeria. Katika sherehe hizo Tanzania ilishiriki kikamilifu. Read More

14
Sep
2013

Naibu Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania azungumza na Wajasiriamali wa Kitanzania, Lusaka

Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewatembelea Wajasiriamali ambao ni Raia wa Tanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao nchini Zambia katika maeneo ya Viwanja vya COMESA. Katika ziara hiyo… Read More

01
May
2013

Tanzania yashiriki vyema mashindano ya kuogelea nchini Zambia

Timu ya Tanzania ya kuogelea imerudi jumatatu saa 1.30 usiku ikitokea Lusaka, Zambia, baada ya kushiriki mashindano ya CANA kanda ya tatu na nne yaliyoshirikisha nchi 10 za Afrika mashariki, kati na kusini. Mashindano hayo yalifanyika kuanzia tarehe 25 hadi April 28 katika maeneo… Read More

10
Feb
2012

Mapokezi ya Rais Rupiah Bwezani Banda wa Zambia

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Rupiah Bwezani Banda wa Zambia muda mfupi baada ya Rais huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa zaiara ya siku mbili nchini Tanzania. Read More

29
May
2011

Balozi Mhe Grace Joan E. Mujuma atoa utambulisho

Hivi ndivyo utambulisho wa balozi wa Tanzania Mhe. Grace Joan E. Mujuma nchini Zambia ulivyokua Read More

06
Sep
2009

President Kikwete endorses biography on Mwanawasa

A biography of late Zambian president Levy Mwanawasa has been launched in Lusaka. The 280-page book written by journalist Amos Malupenga with foreword from Tanzanian President Jakaya Kikwete, was officially launched by Zambia’s first president, Kenneth Kaunda, at a ceremony in Lusaka… Read More