29
Apr
2014

Mama Maria Nyerere atuma Salaam kwa Kenneth Kaunda wa Zambia

Mnamo tarehe 28 Aprili 2014 Mheshimiwa Mzee Kenneth David Kaunda (KK), Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Zambia alifikisha miaka tisini (90). Sherehe kubwa iliandaliwa siku hiyo ambapo Mama Maria Nyerere alialikwa lakini kwa sababu zisizozuilika hakuweza kuhudhuria. Ili kukamilisha nia… Read More

19
Feb
2014

Zambia exceeds FDI target

Minister of Foreign Affairs Wylbur Simuusa says Government last year approved projects amounting to US$3.56 billion above the set target in foreign direct investment (FDI). Read More

16
Dec
2013

Balozi Mujuma ampongeza Mwandishi wa TBC

Balozi Mujuma ampongeza Mwandishi wa TBC wa kutumia taaluma ya uandishi wa habari kuhabarisha umma juu ya masuala yanayohusu Watanzania wanaoishi nchini Zambia Read More

07
Dec
2013

Ziara ya nyota wa filamu Hemedi na wanasoka toka mbeya nchini Zambia

Ziara ya nyota wa filamu Hemedi na wanasoka toka Mbeya wakiwa nchini Zambia, Waigizaji hao wanategemea kutengeneza filamu mpya pamoja nchini Zambia Read More

14
Sep
2013

Naibu Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania azungumza na Wajasiriamali wa Kitanzania, Lusaka

Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewatembelea Wajasiriamali ambao ni Raia wa Tanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao nchini Zambia katika maeneo ya Viwanja vya COMESA. Katika ziara hiyo… Read More

04
Oct
2012

Mama Maria Nyerere, Balozi Mujuma wazuru kaburi la Hayati Mama Betty Kaunda

Mama Maria Nyerere, Balozi Mujuma wazuru kaburi la Hayati Mama Betty Kaunda Read More

02
Sep
2012

President Kikwete mourns Betty Kaunda’s death

President of United Republic of Tanzania, Dr Jakaya Mrisho Kikwete has said Zambia and Africa have lost a brave woman who helped a lot Zambia and the whole continent during independence struggle. Read More