Hivi ndivyo utambulisho wa balozi wa Tanzania Mhe. Grace Joan E. Mujuma nchini Zambia ulivyokua

  • Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Mhe Grace J.E. Mujuma akisoma hotuba fupi ya kuwasilisha Hati Za Utambulisho kwa Rais wa Zambia,Mhe. Michael Chilufya Sata wakati wa hafla fupi iliyofanyika IKULU- Lusaka.

  • Mhe Balozi Grace J.E. Mujuma akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Rais Michael Chilufya Sata

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly