Balozi Mujuma ampongeza Mwandishi wa TBC

Mhe. Balozi Grace Mujuma (wa pili kushoto), Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Zambia na Maafisa wa Ubalozi wamempongeza Bi. Kulthum Ally (katikati),

Balozi Mujuma ampongeza Mwandishi wa TBC wa kutumia taaluma ya uandishi wa habari kuhabarisha umma juu ya masuala yanayohusu Watanzania wanaoishi nchini Zambia

Mhe. Balozi Grace Mujuma (wa pili kushoto), Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Zambia na Maafisa wa Ubalozi wamempongeza Bi. Kulthum Ally (katikati), Mwandishi wa Habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), kwa kutumia taaluma ya uandishi wa habari kuhabarisha umma juu ya masuala yanayohusu Watanzania wanaoishi nchini Zambia.  Wengine katika picha ni Bw. Samuel Munatta, Bw. Jeswald majuva na Bw. Huddy Kiangi.

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly