Mama Maria Nyerere, Balozi Mujuma wazuru kaburi la Hayati Mama Betty Kaunda

  • Mama Maria Nyerere akiweka maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zambia, Marehemu Mama Betty Kaunda. Mama Kaunda alizikwa tarehe 28 septemba 2012, mjini Lusaka, nchini Zambia. Aidha, Mwili wa Marehemu Mama Kaunda ulizikwa kwenye shamba ambalo ni eneo alilozikwa Mmewe, Hayati Dkt. Kenneth David Kaunda. Kushoto ni Mhe. Balozi Grace Joan Mujuma, Balozi wa Tanzania nchini Zambia.

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly