Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Rupiah Bwezani Banda wa Zambia muda mfupi baada ya Rais huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa zaiara ya siku mbili nchini Tanzania.

  • Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Rupiah Bwezani Banda wa Zambia muda mfupi baada ya Rais huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa zaiara ya siku mbili nchini Tanzania.

  • Mtoto Malaika Nyange akimkaribisha kwa maua Rais Rupiah Banda wa Zambia muda mfupi baada ya Rais huyo kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya siku mbili nchini.

  • Rais Rupiah Banda wa Zambia akiwa amembeba mtoto Malaika Nyange aliyemkabidhi maua mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana.

  • Baadhi ya akina mama wa Jiji la Dar es Salaam wakimkaribisha kwa shangwe Rais Rupiah Bwezani Banda muda mfupi baada ya kwasili katika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku mbili

  • Rais Rupiah Bwezani Banda wa Zambia akikagua gwaride la heshima liliandaliwa kwa heshima yake na jeshi la Wananchi wa Tanzania wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo mchana.

  • Rais Rupiah Banda wa Zambia na Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakiangalia ngoma za mara tu alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo mchana.

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly