Sherehe za siku ya Afrika ambazo huadhimishwa tarehe 25 Mei 2014 ya kila mwaka nchini Zambia. Kwa upande wa Balozi za Afrika zilizopo Zambia sherehe hizi zimefanyika tarehe 27 Mei 2014 nyumbani kwa Balozi wa Nigeria. Katika sherehe hizo Tanzania ilishiriki kikamilifu.

SHEREHE ZA BALOZI ZA KIAFRIKA LUSAKA ZAMBIA ZIKIADHIMISHA MIAKA YA 50 YA OAU/AU
Sherehe za siku ya Afrika ambazo huadhimishwa tarehe 25 Mei 2014 ya kila mwaka nchini Zambia. Kwa upande wa Balozi za Afrika zilizopo Zambia sherehe hizi zimefanyika tarehe 27 Mei 2014 nyumbani kwa Balozi wa Nigeria. Katika sherehe hizo Tanzania ilishiriki kikamilifu.

  • Mhe. Grace Mujuma Balozi wa Tanzania nchini Zambia akiangalia na kutoa maelekezo katika banda la Tanzania jinsi ya kupanga vyakula vya Kitanzania ambapo kila nchi zilizoshiriki sherehe hizi zilipika vyakula vinavyoliwa sana nchini mwao. Mhe Balozi wa Tanzania akiwa na

  • baadhi ya Watanzania waliokaribishwa kwenye sherehe. Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Bw

  • Huddy Kiangi, Mtanzania aliyealikwa Bw. Mlay na Mhe. Balozi Grace Mujuma.

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly