Ziara ya nyota wa filamu Hemedi na wanasoka toka Mbeya wakiwa nchini Zambia, Waigizaji hao wanategemea kutengeneza filamu mpya pamoja nchini Zambia

  • Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace MUJUMA na afisa wake bi Justa Nyange (kusho) walipokutana na waigizaji wa filamu Hemed kutoka Tanzania (kulia) na Bi. Cassie Kabwita wa Zambia. Waigizaji hao wanategemea kutengeneza filamu mpya pamoja nchini Zambia

  • Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace MUJUMA akiwa na afisa wa Ubalozi Bw. Jeswald Majuva (kulia) wakati walipokutana na waigiza sinema Hemed kutoka Tanzania na Cassie Kabwita wa ZAMBIA

  • Muigiza sinema wa Tanzania Hemed akiwa na muigizaji sinema wa Zambia Cassie Kabwita wakati walipotembelea Ofisi Za Ubalozi w Tanzania Lusaka Zambia Jana tarehe 6 desemba 2013. Msanii Huyu wa Tanzania yuko nchini Zambia akishirikiana na Kabwita katika kutengeneza filamu mpya

  • Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace MUJUMA (katikati) akiwa na maafisa wake Bi. Justa Nyange (wa nne kushoto ju) na bw Jeswald Majuva mwenye tai kulia wakiwakaribisha wacheza mpira wa Miguu kutoka Mbalizi, Mbeya, katika ziara Yao ya michezo Kadhaa na wenzao nchini hapa.timu hiyo ya mbalizi imealikwa nchini Zambia na mtanzania aitwaye

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly