Our Embassies / Consulates does not issue Certificates of Renunciation of Tanzanian Citizenship but only receives and forwards applications to the Immigration Office, Ministry of Home Affairs in Tanzania. This process takes not less than three months before the Certificate of Renunciation is issued. When the certificate is issued it is sent to the Embassy and forwarded to the correct address of the applicant.

The applicant must fill in two original copies of the application form / renunciation form. The form must be signed by a person who is authorized to receive oaths (Commissioner of Oaths). He or she can be a person appointed by the Minister of Justice or can be by virtue of their status e.g. Magistrate, lawyers, notaries).
- RENUNCIATION FORM (PDF Download)

The fee must be paid to Tanzania Consulate / Embassy’s Account:(Inquire about our Bank Account).
Evidence/receipt of payment must be attached to the application form.

Other requirements are 3 passport sized photos, Tanzanian passport (in order to be returned to the Ministry of Home Affairs) and a letter of offer of new citizenship (the letter must be in/translated in English).

KUUKANA URAIA WA TANZANIA
Ubalozi wa Tanzania, (Zambia) hautoi Vyeti vya Kuukana Uraia wa Tanzania bali inapokea tu maombi na kuyawasilisha Idara ya Uhamiaji, Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania. Hatua za maombi haya yanachukua si chini ya miezi mitatu kabla Cheti cha Kuukana Uraia kutolewa. Cheti kikitolewa kinatumwa Ubalozini na Ubalozi kukituma katika anuani sahihi ya mwombaji.

Mwombaji anatakiwa kujaza fomu mbili za maombi ya kuukana uraia / Fomu ya Kuukana uraia. Fomu hii inatakiwa ijazwe mbele ya Afisa anayeruhusiwa kupokea viapo. Huyu anaweza kuwa ni Afisa aliyeteuliwa na Wizara ya Sheria, Wakili, Hakimu au yeyote anayeruhusiwa kwa kutokana na Cheo au wadhifa wake.
- FOMU ZA KUUKANA URAIA (PDF Download)

Malipo ya huduma hii ni (Kwenye Account ya Embassy) ikiwa ni pamoja na gharama za posta. Ada ilipwe katika akaunti ya Ubalozi Wetu Account: Risiti ya malipo iambatanishwe katika fomu za maombi.

Mahitaji mengine ni picha 3 za pasipoti, Pasipoti ya Tanzania (ili irudishwe Wizarani), barua aliyopewa ya kukubaliwa Uraia mpya (iwe kwa/imetafsiriwa kiingereza).

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly